
What happens when the life you’re living no longer feels like the life you were meant to live?
In Episode 2, Stacey & Steve open up about the moments that brought them face-to-face with themselves—the partying, the drinking, the lust, the heartbreak, the fear, and the choices that left them searching for something more.
They share what happened when Jesus met them in those places, and how one encounter began changing the direction of their lives.
Grace changed everything.
🎥 You can also watch this episode on YouTube.
📲 Follow Stacey & Steve on social media for more conversations on faith, love, and life.
Inakuwaje pale ambapo maisha unayoishi yanaanza kutofautiana na maisha uliyokusudiwa kuishi?
Kwenye Episode 2, Stacey & Steve wanafunguka kuhusu nyakati zilizowalazimisha kujitazama wao wenyewe—maisha ya kuparty, kunywa, tamaa, kuvunjika moyo, hofu, na maamuzi yaliyowaacha wakitafuta kitu zaidi.
Wanasimulia kilichotokea Yesu alipowakuta wakiwa kwenye hali hizo, na jinsi kukutana naye kulivyoanza kubadilisha mwelekeo wa maisha yao.
Neema ilibadilisha kila kitu.
🎥 Unaweza pia kutazama episode hii kwenye YouTube.
📲 Mfuatilie Stacey & Steve kwenye mitandao ya kijamii kwa mazungumzo zaidi kuhusu imani, upendo, na maisha.
Więcej odcinków z kanału "Stacey & Steve"



Nie przegap odcinka z kanału “Stacey & Steve”! Subskrybuj bezpłatnie w aplikacji GetPodcast.

