MSASA Podcast podkast

MSASA NA SCOOBY ASKARI WA MIGUU

22.11.2026
0:00
1:14:01
Do tyłu o 15 sekund
Do przodu o 15 sekund

Send us Fan Mail

The Many Lives of Scooby Velli🔥

What happens when life takes you in directions you never imagined? Is doing many different things a sign of confusion, or could it be part of discovering who you really are?

Kwenye episode hii ya MSASA Podcast, tumekaa na Francis Noriega Mwaimu, maarufu kama Scooby Velli au Askari wa Miguu, kuzungumzia safari yake ya maisha, ndoto, kazi, familia na passion zake.

Kutoka kwenye ndoto ya kuwa rubani, maisha ya boarding school, kusomea na kufanya kazi kwenye community development na conflict resolution, mpaka kuingia kwenye ulimwengu wa entertainment, filmmaking na kuanzisha Bongo Hoodz Pichaz.

Scooby anatupa perspective ya kipekee kuhusu kujitafuta, kutumia elimu nje ya taaluma uliyosomea, kujenga connections za kweli, kufuata passion hata bila resources za kutosha, na kuendelea kufanya kile unachokiamini hata pale wengine hawaelewi unachofanya.

Pia, tunagusia upande mwingine wa maisha yake ambao wengi hawaufahamu, kuwa baba. Tunazungumza kuhusu malezi na namna kuwa mzazi kumebadilisha mtazamo wake kuhusu maisha.

This is a conversation about identity, passion, resilience, reinvention, and embracing every version of yourself.

Je, lazima maisha yako yawe na direction moja tu ili ufanikiwe? Au sometimes, the different paths we take are exactly what shape us into who we're meant to become?

🎙️ Watch the full episode, share your thoughts in the comments, and don't forget to like, subscribe and share!

Karibu MSASANI, tupate MSASA! 🎙️

Guest: Francis Noriega Mwaimu - (Scooby)

Host: Hisia

MSASA PODCAST 🎙️

Website: https://neiked.co.tz/msasa/

Available on all major streaming platforms.

#MSASAPodcast #thereallifeofscoobyvelli #ScoobyVelli #AskariWaMiguu #BongoHoodPictures #MchiziPoa


Więcej odcinków z kanału "MSASA Podcast"