Kutembea na Mizimu ya Chimurenga ya Pili ya Zimbabwe
Katika kipindi hiki, Bongani Kona anatembelea tena waasi wa vijijini ili kukomboa nchi yake ya Zimbabwe kutoka kwa utawala wa wazungu katika miaka hii ya 1970. Kona anasema kuwa jinsi maadhimisho ya waliouawa kutokana na vita hivi yanavyofanywa na serikali ya baada ya ukoloni, ni suala linaloathiri masilahi ya walio hai na waliokufa.
Hili ni toleo la Kiswahili la podikasti hii. Unaweza pia kusikiliza matoleo katika Kiingereza na Kifaransa.
Shukrani
Mwandishi : Bongani Kona
Uhariri wa hati: Sophie Schasiepen kwa usaidizi wa Andri Burnett
Tafsiri : M.W.O & M. M., Afrolingo
Msimulizi: Furaha Ruguru
Mtayarishaji / mhariri: Andri Burnett
Mtayarishaji Mtendaji: Sophie Schasiepen
Asante
Bongani Kona angependa kuwashukuru Paolo Israel na Nicky Rousseau.
Kusoma Zaidi
Marejeleo ni pamoja na kazi za Hilton Als, Marissa J. Fuentes, Milan Kundera, Viet Thanh Nguyen, Derek Mahon, Mandy Moe Pwint Tu, Terence Ranger, Maria Stepanova, Flora Viet-Wild, Richard Werbner. Tafadhali pata marejeleo kamili yaliyoorodheshwa hapa.
Ufadhili
Podcasti ya Kuomboleza Waliokufa ilitungwa kama sehemu ya mchango wa Chuo Kikuu cha Western Cape kwa mradi wa utafiti “Reconnecting 'Objects': Epistemic Plurality and Transformative Practices in and beyond Museums”, unaofadhiliwa na Volkswagen Foundation.
Altri episodi di "Mourning the Dead: Connecting histories of people, places, and remains"
Non perdere nemmeno un episodio di “Mourning the Dead: Connecting histories of people, places, and remains”. Iscriviti all'app gratuita GetPodcast.