Chahali Podcast podcast

Hukumu ya Lissu

0:00
10:03
Spol 15 sekunder tilbage
Spol 15 sekunder frem

Makala hii inafanya tafakuri kuhusu hukumu ya miaka minne jela dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu ambapo pamoja na mambo mengine inaangalia endapo kifungo hicho sio mwendelezo wa jaribio la mwaka 2017 - lililofeli - dhidi ya uhai wa Mheshimiwa Lissu. Kwamba safasi hii wanajaribu kuua ndege watatu kwa jiwe moja: kufanikisha walichofeli 2017, kummaliza kisiasa na - kutokana na changamoto zake za kiafya - kummaliza kiafya (God forbid)